LYRICS
Chorus;
Mtakie jirani yako merry Christmas;
Mtakie pia na heri mwaka MPYA; hoie
Merry Christmas
Merry christmas
Mtakie jirani yako merry Christmas
1; ni wakati mwingine tena umefika we tusherehekee pamoja
Ni majira mengine tena yamewadia,tusherehekee pamoja ; merry christmas merry chtistmas.
Chorus........
2; ni wakati wa kushukuru piga kelele; kelele hizo za ushindi ; ni wawakati wa kupokea piga kengele; kengele hizo za ushindi; merry chtisimas merry christmas
Chorus....
We wish you a merry Christmas
We wish you a meryy Christmas
We wish you a merry Christmas
And a happy new year!!!
Hureeeee!!!!
0 comments :
Post a Comment